Wednesday, October 10, 2012

MAKUNDI YA MAHUJAJI KUELEKEA MAKA YAANZA KUONDOKA NCHINI.

Sheikh Muharrami Juma Doga akiwa na mahujaji wenzake kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mchana wa leo wakisubiri ndege ya shirika la ndege la ( Yemen ) kwaajili ya safari ya Hijja kwenye miji ya Makkah na Madina.