Friday, October 5, 2012

MR AND MRS PRESIDENT
Hapana ni Oktoba 3 1992... walifunga ndoa yao ambayo ilihudhuriwa na watu 200 katika sherehe hiyo Michelle Obama alisikika akisema 'Nimefurahi kuolewa na mwanaume anayenipenda na niliyempenda".Novemba 2, 2004,Wakiwa na binti zao Sasha na Malia
March 20, 2009...'kam'bana....
  May 25 2011, 'wanafanana eeeh.....'

Julai 16 2012.....hapa wanaonyesha jinsi gani wanavyopendana.....