Thursday, October 4, 2012

HUYU NDIO MUHUBIRI TAJIRI WA NIGERIA ANAEMILIKI HIZI NDEGE BINAFSI ZA KUSAFIRIA


Askofu Oyedepo.
Hii ni ya kwanza.
.
Gulfstream G550
Gulfstream G550.
Gulfstream V
Gulfstream V
LearJet 
LearJet.
Daily Post wameripoti kwamba ndege zinazomilikiwa na watu binafsi zimeongezeka nchini Nigeria ambapo mwaka 2007 zilikua ndege 20 lakini mwaka huu 2012 ziko zaidi ya 150 ambapo kwa sasa Nigeria na China ndio nchi ambazo ni miongoni mwa zinazokuja kwa kasi kwenye ununuzi wa ndege binafsi duniani.
Hiyo list hapo chini ni list ya matajiri kumi wa Nigeria wanaomiliki ndege binafsi ambapo Muhubiri ambae ni askofu Oyedepo ndio ameongoza kwa kuwa na umiliki wa ndege nne japo mbili ameshea na rafiki zake.
Oyedepo ndio mwanzilishi wa Living Faith Christian Church International maarufu kama Winners’ Chapel ambalo hata Tanzania lipo pia.