Tuesday, October 9, 2012

O'NKOSI ERICK FUNGO


O'Nkosi Erick Fungo ni mtaalam wa ngoma za asili alie somea Bagamoyo College Of Performing Arts, Tanzania East Africa. Kwa sasa anaishi hapa Queens, NY na shughuli zake nikufundisha watoto ngoma kwenye Element School.
O'Nkosi Erick Fungo pia kwa sasa anafanya project inayojulikana (RITES OF PASSAGE,,) na kikundi chake cha ngoma utoa burudani sehemu mbali mbali pale anavyo pata mwaliko wa kwenda kutoa burudani hiyo. 
 Watoto wa shule wakicharaza ngozi ya ng'ombe baada ya kupata mafunzo na O'Nkosi Erick.