Wednesday, October 10, 2012

UNAITAJI KUWA NA INSURANCE KWA STAYLE HII


 Miaka ya sasa tumeshuhudia ubunifu wa hali ya juu katika soko la mitindo na ubunifu, madizaina nchi za mbele mbele wamekuwa wakiumiza vichwa kutengeneza viatu vya ajabu kutokea duniani, kiatu ambacho kinakimbiza hivi sasa ni kile chenye visigino viwili kiitwacho  "Scary Beautiful" (pichani juu) kinatajwa kuwa ni kiatu cha ajabu kuliko vyote vilivyopata kutokea kwenye soko la ubunifu

 The massive heels appear backwards on the foot, so the wearers feet point straight down the back, as if in ballet shoes, with their shin leaning against the front "heel" end of the design to balance. The shoes are a collaboration between artist Leanie van der Vyver and Dutch shoe designer RenĂ© van den Berg, and serve as a commentary on today's impossible standards of beauty. 
"Scary Beautiful" kiatu kilicholeta mapinduzi ndani ya soko la mitindo, akinadada jeh  mko tayari kutokelezea navyo?