Tuesday, December 4, 2012

Taarifa ya msiba: mama mzazi wa Mrs. Rose Mero amefariki Tanzania



Tunasikitika kutangaza kifo cha Mama mzazi wa mwanajumuiya mwenzetu Mrs. Rose Mero, Bi Maria Kisamo (84) aliyefariki leo Dec. 3 2012. Nyumbani Tanzania. Mrs. Rose Mero ataondoka Jumatano Dec 5th, 2012 kuelekea Tanzania kuhudhuria mazishi. Kama ilivyo desturi yetu wote tunaombwa kufika nyumbani kwake kumfariji katika kipindi hiki kigumu kabla hajaondoka. "Raha ya Milele Umpe Eee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie apumzike kwa amani. Amina"
Address:
20 RIVER RD,
APT 15K, 
ROOSEVELT, NY 10044 
Tel. (646)7152853

No comments:

Post a Comment