Sunday, December 2, 2012

SHEREHE ZA KUWAKARIBISHA WAHESHIMIWA MA BALOZII MANONGI NA MWINYI



 Sherehe za kuwa pongeza na kuwakaribisha waheshimwa ma balozi picha na matukio, hapa ni meza kuu ambayo waliketi waheshimiwa  mabalozi na wageni wengine wahalikwa katika sherehe hiyo. Mh Balozi Manongi na Msaidizi wake Mh. Ramadhan Mwinyi walikaribishwa na kujitamburisha mbele ya watanzania wanaoishi New York na vitongoji vyake. Katika sherehe hiyo iliyo andaliwa na NYTC(Board na Exacutive Commitee.Sherehe hiyo ilifanyika New Rochelle, NY Hapa chini ni picha na matukio yaliyo jili katika sherehe hiyo.
 Naibu mwakilishi wa balozi Mh. Ramadhan Muombwa Mwinyi akiwa na mama mwenye nyumba wake pembeni wakipata ukodak wa Vijimambo katika sherehe hiyo ya kumkaribisha.
 Mh. Balozi Tuvako Manongi akiteta jambo ma Mh Malicela Prime Minister mstaafu, Mh Malicela alikuwepo pia katika sherehe hizo.
 Mh. Ramadhan Mwinyi akipata ukodaki na Mh. Malicela
 Ally Chunda akipata ukodak na Mh. Ramadhan na mama mwenye nyumba wa Mh. katikati
 MC wa sherehe hizo bwana mwakalinga akiwa kazini kuwatangazia kila kilichotakiwa kuendelea ukumbini hapo
 mama Kiswaga akitoa nasaha zake katika sherehe hizo

 Picha za pamoja na viongozi wahusika, kwa picha zaidi nenda (read more)






No comments:

Post a Comment