Sunday, January 13, 2013

DEREVA WA BODA BODA NA ABIRIA WAKE WAVUNJIKA MIGUU


Abiria wa piki piki,maarufu kama Boda boda akiwa chini, baada ya kugongwa na gari aina ya cruiser ya tours iliokuwa ikitokea maeneo ya Sakina white Rose na piki piki ikitokea upande wa ngaramtoni jijini Arusha,Abiria alivunjika Mkono wa kushoto palepale na kukimbizwa hospitali ya Mt. Meru kwa matibabu.
Wananchi wakimzingira Dereva wa bBoda Boda ,ambae nae alivunjika Mguu wake wa kushoto baada ya kugongwa na gari aina ya cruiser ya tours iliokuwa ikitokea maeneo ya Sakina white Rose na piki piki ikitokea upande wa ngaramtoni jijini Arusha.