Sunday, January 13, 2013

ZANZIBAR DAY YA FANA NEW YORKMr Mero akiongea machache kwenye sherehe hizo kwa niaba ya Mh. Balozi ambae alitakiwa kuwa mgeni rasmi lakini kutokana na sababu zisizoweza kuzuwilika akuweza kuuzuria ndipo alivyo tumwa Mr Mero kuja kumuwakirisha. Sherehe hizo zilifanyika Alomo Lounge Mt vernon. NY.
Mr Mseba katibu wa jumuia ya watanzania New York akiongea katika sherehe hizo
Hajji Khamis ni mwenyekiti wa jumuia watanzania New York nae alizungumza
Mr Temba akimpongeza Mr Mero baada ya kumaliza kuongeza machache katia sherehe hiyo
Picha ya pamoja na bendera watanzania walijitokeza kusherekea sherehe ya mapinduziya Zanzibar
Watanzania wakijipatia chakula