Thursday, January 10, 2013

ETI WADAU TANGAZO HILI LINAMAANISHA NINI?

Hili ni moja ya bango la tangazo linalozuia kuegesha gari, au magari katika eneo hili lililopo karibu na Ofisi za Bunge, jijini Dar es Salaam, lakini kwa sasa imekuwa ni tofauti kwani si gari moja ambalo labda waweza kusema limeegeshwa kwa bahati mbaya, la hasha ila eneo hili limegeuka kuwa maegesha ya magari tu kwa muda wote, sasa kama hivyo ndivyo Tangazo hili bado lina maana kuwapo neo hili?