Thursday, January 10, 2013

Rais Kikwete aongoza kikao cha Troika cha SADC ikulu Dar es Salaam

Mwenyekti wa Asasi ya Siasa,ulinzi na Usalama ya SADC Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha asasi hiyo kilichofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Rais wa Namibia Hifikepunye Pohamba ,Katibu mkuu wa SADC,Dk.Tomaz Salomao,Rais Armando Guebuza wa Msumbiji,,Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe na kulia ni Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini. (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment