Thursday, January 24, 2013

SIKU YA KILELE CHA WIKI YA UWEZESHAJI UKUMBI WA SALAMA BWAWANI ZANZIBAR.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akimkabidhi Cheti cha Shukurani Bibi Nuru Hafidhi Mzee,Mstaafu katibu Muhtasi Wizara ya Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika,wakati wa sherehe za Kilele cha Wiki ya Uwezeshaji wananchi Kiuchumi katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Kazi,Uweshaji, Wananchi Kiuchumi na Ushirika Haroun Ali Suleiman.
Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbali mbali Serikali,na Wajasiriamali waliohudhuria katika sherehe za Kilele cha Wiki ya Uwezeshaji wananchi Kiuchumi katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Zanzibar,wakiksikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza nao leo. Picha na Ramadhan Othman,IKULU