Tuesday, January 15, 2013

UJIO WA PRECISIONAIR MBEYA MTAA WA WEST WAFAIDIKA NA TAA ZA BARABARANI

MAFUNDI WAKIENDELEA KUWEKA MABANGO YA MATANGAZO KATIKA MTAA WA WEST AMBAPO NDIPO OFISI MPYA ZA PRECISIONAIR JIJINI MBEYA
MTAA WA WEST UHINDINDI MBEYA UMEPATA BAHATI YA KUWEKEWA TAA ZA BARABARANI MAANA MTAA HUU NDIPO IPO OFISI YA PRICISIONAIR
MAFUNDI WAKIENDELEA KUFUNGA TAA PAMOJA NA MABANGO YA MATANGAZO YA BIASHARA YA KAMPUNI HIYO YA NDEGE

KESHO TAREHE 16/1/2013 SAA 6.30 MCHANA NDEGE YA PRICISIONAIR ITATUA KWA MARA YA KWANZA KATIKA UWANJA WA NDEGE SONGWE KUASHIRIA KUWA SASA SAFARI YA DSM NA MBEYA ZIMEANZA

PICHA NA MBEYA YETUPosted by Mbeya Yetu at 6:22 PM 0 commentsReactions: Hapa ndipo palipokuwa kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani eneo la uhindini Mbeya mwaka 1972