Sunday, January 6, 2013

WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA WAFURAHIA BONANZA LAO LA FAMILLY DAY


Watoto wa wafanyakazi wa mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania, wakishindana katika mbio za magunia wakati wa Bonanza maalum la Familia, 'Family Day Bonanza'.
Watoto wa wafanyakazi hao washindana katika mbio za magunia. 
Wafanyakazi hao wakicheza mpira wa mikono vollyboll wakati wa familly day iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usfiri wa Anga Tanzania, Wakishindana kuvuta kamba wakati wa sherehe za familly day iliyofanyika jijini Dar es Salaam. 
Watoto wakishindana kukukmbia na vijiko vikiwa na mayai.