Monday, January 7, 2013

WANANCHI WACHOMA MOTO KITUO CHA POLISI BAADA YA KUWAFICHA WATUHUMIA KUUA KWA UCHAWI MAWANAFUNZI
watuhumiwa wanaodaiwa kumuua mwanafunzi aliyemaliza Shule ya Sekondari ya Bushabani Manispaa ya Kigoma/Ujiji Danieli Charles Sadamu kwa tuhuma za uchawi wakiwa kwenye gari ya polisi wakipelekwa katika Kituo Kikuu cha Kati ili kwa tahadhari ya wananchi wenye hasira kali waliokuwa nayo na kuwata askari polisi kuwachiwa watuhumiwa hao ili wapate kuwashughulikia hasira za wananchi hao hazikuishia hapo walikwenda mpaka kwenyew kituo kidogo cha polisi na kuchoma moto na .
Wananchi weny hasira kali wakichoma moto Kituo Kidogo cha polisi Kibirizi Mkoani Kigoma baada ya polisi wa kituo hicho kumuokoa msichana Mary Ally [18] ambaye anatuhumiwa kumuua mwanafunzi aliyemaliza Shule ya Sekondari ya Buronge iliyopo Manispaa ya Kigoma/Ujiji Danieli Charles Sadamu kwa tuhuma za kichawi.