Monday, February 11, 2013

MAJAMBAZI WAUA POLISI TEMEKE MUDA MCHACHE ULIOPITA!!

Mmoja wa askari aliyejeruhiwa na majambazi huko Temeke muda mfupi uliopita, akitolewa hospitali ya Temeke kupelekwa hospitali ya muhimbili. 
Askari mmoja wa jeshi la polisi ameuawa na wengine wawili kujeruhiwa kwa risasi, baada ya kurushiwa risasi na majambazi yaliyokua katika gari ndogo aina ya Toyota carina leo maeneo ya Temeke, wakati Askari hao wakiwa katika doria za kawaida.