Monday, February 11, 2013

*OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI YAUNGANISHWA KWENYE MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO

Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh (kushoto) akipokea cheti cha kukamilika kwa mradi wa kuiunganisha ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwenye Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kutoka kwa Meneja wa njia za Mawasiliano za nje kutoka Kampuni ya simu Tanzania, Kisamba Tambwe. 
Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh (katikati mbele) akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa Ofisi hiyo na viongozi wa Kampuni ya Simu Tanzania TTCL leo jijini Dar Es salaam. Picha na Aron Msigwa-MAELEZO