Monday, February 11, 2013

MAMA BUTIKU 10 YEARS CHURCH ANNIVERSARY


Anniversary ya kutimiza miaka 10 ya kanisa la mama Butiku ilifanyaka jumapili ya tarehe 10 ilifana. Mama Butiku ni mama wa community na yupo msitari wa mbele kuwa karibu na wanacommunity wa New York na vitongoji vyake pale anavyo itajika au anavyosikia kuna shughuri yeyote inayo husu community.
Hapa waumini wa kitanzania waliouzuria sherehe na misa hiyo wakiwamsikiliza mama Butibu akiongoza sala ya jumapili siku hiyo. Mama Rose wa kwanza kushoto alikuwepo kanisani hapo akiwakirisha ubalozi wa New York.
 Waumini wa kitanzania wakipata ukodak kanisani hapo na mama Butiku

 Mama Butiku akipata ukodak baada ya kumaliza sala ya jumapili
Dj Mao kushoto, anaefuatia ni Mama Rose kutoka ubalozi NY, mama Butiku katikati kushoto kwa mchungaji ni Sophia  mama mwenye nyumba wa Dj Mao na wa mwisho ni Jessica Chiume. wakipata ukodak na mchungaji mama Butibu.
 Mzee Temba aliwakirisha viongizi wa community akipata ukodak na mama Butiku, Mama Rose na wakiwa na watoto ambao ni wanacommunity wa kesho.