Hii ni ramani ya Tanzania kuonyesha sehemu ambazo zimeanza kufaidika na huduma hiyo inayosimamiwa na Janice Luthen.
Mh. Balozi Ramadhani Mwinyi akiongea jambo na Janice wakiwa Twiga room ubalozini jijini New York.
Mr Modest Mero's Minister Plenipotentiary & Head of Chancery, alikuwa anaendesha mkutano huo hapo Twiga room New York,
Hii ni sehem ya vitu vinavyo tumika kutoa umeme wa solar vikiwa vimeunganishwa na computer wakati wa mkutano
Ukodak wa pamoja baada ya mkutano
No comments:
Post a Comment