Sunday, May 12, 2013

NEW TANZANIA PLACE A WAS NICE AND FUNNY


 Dj Bilal na Jr wake wakiwarusha watanzania waliojitokeza New Tanzania Place Brooklyn NY. Ilikuwa ndiyo mara ya kwanza sehem hii mambo haya kuwa haba watu walienjoy muziki wa kitanzania, kwa chakula na vinywaji vilivyokuwa vinapatika ukumbini hapo. Ni mwanzo tu na pata uhondo huu kila siku za jumamosi usiku. Pitia picha za warembo waliojitokeza usiku huo.
 Warembo kutoka New Jersey walikuwepo pia hapa wakipata chakula hili wapata energy ya kujirusha na muziki kutoka kwa Dj Bilal.
 Watu waki burn calories ukumbini hapo kama kawaida hakukuwa na wakulala
 Mambo ya mugongo mugongo haya hapa full ku rusha roho
 Habari ndiyo hii ni kila jumamosi mambo iko huku, kwa picha zaidi za usiku huo hapo New Tanzania Place bofya read more.


No comments:

Post a Comment