Tuesday, June 25, 2013

HARUSI YA NATHAN NA MKE WAKE JERRYANNE

Picha juu na chini ni smile faces  Nathan Chiume na mke wake Jerryanne siku ya harusi yao iliyofanyika siku ya tarehe 21 uko Mt vernon, NY. 
Hapa Nathan akirishwa kipande cha cake na mke wake siku hiyo ya harusi
Nathan nae akimrisha mke wake kipande cha cake yote ni katika mambo ya malovidave. Ukijua kupokea jua na kutoa pia. Hongera sana kutoka kwa vijimambo team Vijiambo inakutakia maisha yenye furaha na afya tele katika ndoa yako. Kwa picha zaidi bofya read more
Mambo ya kulishana hayo 
Nathan akiwa na smile mbele ya mama mwenye wake cheupe dawa.
Nathan akifungua music na mke wake ukumbini hapo
Kaka mkubwa wa Nathan 
Dada wa Nathan
Chiume family

No comments:

Post a Comment