Tuesday, June 25, 2013

ROOFTOP BBQ PARTY ILIKUWA BOMBAAAAAAAAA BROOKLYN NY.

 Miss Mahundi siku ya Rooftop bbq part yake ndani ya Brooklyn NY akipata ukodak 
 Hapa Miss Mahundi akivuliwa viatu part ianze maana alikuwa amevaa viatu virefu vilikuwa vinamuharibia mapozi.
 Mambo si hayo sasa full kuyarudi mangoma ni siku yake jamani acha ajimwage mtu kati. 
 Watu wakijipatia kitoweo cha nyama choma na vinywaji baridi 
 Kila mtu alikuwa na pozi lake siku hiyo mambo yalikuwa bam bam.
 Wachomanyama nao walikuwa full gwanda kuhakikisha nyama inakuwa sawa kwa walaji. 
 Hamza akipata ukodak na marafiki zake na huku akiwa ameshika sahani ya kitoweo.
 Cha dogi kutoka MA akipata ukodak akiwa na pozi sambamba na dada yake.
 Dullar kama kawaida akiwakirisha kiroho safi


 Brother Akida akiwa na mwenyeji wake kutoka Maryland wakishow love kwenye bbq hiyo ya Mahundi family. Kwa picha zaidi bofya read more!!!!



























No comments:

Post a Comment