Monday, June 24, 2013

TASWIRA YA PICHA ZA BIRTHDAY YA FUNDI KOMBO RAMADHAN NEW YORK

Hii ni cake ya birthday Fundi Kombo ikionyesha picha yake na mama mwenye nyumba wake katikati ya cake. Watu walikula na kucheza hadicheee.
Fundi Kombo akiwaserebuka na mama mwenye nyumba wake siku hiyo ya birthday.
Watu wakijiachia na music ulio kuwa unarindimishwa na Dj Bilal 
Apakutosha siku hiyo

No comments:

Post a Comment