Wednesday, July 3, 2013

MACHANGUDOA"UJIO WA OBAMA HAUKUWA NA MASLAI KWETU"


Katika hali ilisiyokuwa ya kawaida, machangudoa wameulalamikia ujio wa Rais Barack Obama kwa kile kinachodaiwa kuwa haukuwa na faida yoyote kwa kukosa dili za pesa. 
" Tumesikitishwa sana na ujio wa Obama kwani tulikuwa tumejipanga kupiga hela ndefu sana . 
"Bahati mbaya watu wake tuliokuwa tunategemea kuwanasa walikuwa busy na wale wa mikoani walizuiwa" Walisema akina dada hao.
Machungudoa hao wanadai kuwa kipindi cha Bush alipokuwa Rais ambaye alikaa nchini karibu wiki moja walinufaika sana ambapo wengi wao walijenga majumba kwa pesa za ziara ya Bush .

1 comment:

  1. Does yоur site have a contаct page? I'm having a tough time locating it but, I'd
    like tо shoot yοu an еmail. І've got some suggestions for your blog you might be interested in hearing. Either way, great blog and I look forward to seeing it develop over time.

    My page best solihull double glazing installers

    ReplyDelete