Sunday, August 18, 2013

GRADUATION PARTY YA DR TEMBA

Dr Temba akitoa shukrani zake mbele ya ndugu na marafiki waliohudhulia graduation party yake iliyofanyaka nyumbani kwani Brooklyn. Ny. Licha ya graduation party hiyo pia alizindua jiko maalum la kuchomea nyama  linalo tumia computer. Jiko hilo limedesign na yeye mwenyewe Dr T. Hayo ni moja ya matunda aliyo yapata katika nondo zake za PHD alizo zipata katika chuo cha Walden.
Hapa Dr Temba akikata kipande cha nyama kilichochomwa katika jiko hilo na kumpa Mh Balozi Manongi, Mh Balozi 
Tuvako Manongi, ni Permanent Mission of Tanzania to the UN
Kila mtua alivutiwa na jiko hilo kama unavyoona kwenye picha.
Mh. Balozi Manongi akipata ukodak na Dr Temba
C.E.O wa Vijimambo Mpwa kutoka Capital akipata ukodak na Mh balozi Manongi.
 Chakula pia kilipata tika katika sherehe hiyo kama unavyo ona.
 Live band nayo ilikuwepo kwenye party hiyo

No comments:

Post a Comment