Monday, September 23, 2013

DR SLAA AKIUNGURUMA NDANI YA DMV

 Mizaa kuu ya viongozi wa Chadema tawi la DMV wakimsikiliza kiongozi wao alivyo kuwa anakosoa makosa ya chama tawala Tanzania CCM.
 Dr Slaa akiongea kwenye mkutano wa wanachama wa Chadema katika jiji la Maryland....
 Watanzania wa DMV wakimsikiliza kiongozi wa chama cha upinzani Chadema kwenye mkutano huo.
 Juu na chini Watanzania wakimuuliza maswali Mh Dr Slaa kwenye mkutano huo