Monday, September 23, 2013

Video ya kauli ya Rais Uhuru Kenyatta na ya taarifa kuhusu shambulio la Westgate Nairobi


Ni shambulio ambalo kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab kimekiri kuhusika na kusababisha watu wanaofikia 39 kupoteza maisha na wengine zaidi ya 150 kujeruhiwa.