Thursday, September 12, 2013

End of Summer BBQ and Election Day. Sept. 14th, 2013 from 12:30 pm at 30 Overhill Rd, Mt. Vernon New York.

End of Summer BBQ and Election Day. Sept. 14th, 2013 from 12:30 pm at 30 Overhill Rd, Mt. Vernon New York. 
Please bring your friends, family and Children for end of Summer BBQ and Election Day.
Guest of Honors: His Excl. Ambassador T. Manongi and Amb. R. Mwinyi.
Election Chairperson: Mchungaji Mama Butiku
Music by DJ Mao & Tahir

na

TANGAZO LA UCHAGUZI WA JUMUIYA, JUMAMOSI SEPTEMBA 14, 2013


Kwa niaba ya Kamati huru ya Uchaguzi, tunapenda kutangaza rasmi Uchaguzi wa Viongozi wa Jumuiya ni Jumamosi Septemba 14, 2013. Tarehe ya mwisho ya kurudisha fomu ni Saa 9 Alasiri (3pm) Ijumaa Septemba 12, 2013.


Nafasi za Uongozi
Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti
Katibu na Katibu Msaidizi
Mweka Hazina na Mweka Hazina Msaidizi
Sifa za Mgombea;

1. Awe na Elimu isiyo ya chini ya kidato cha nne
2. Awe Mwanachama Hai asiyedaiwa michango.
3. Ailewe katiba ya NYTC na awe tayari kuitumikia Jumuiya kwa moyo wake wote.
4. Awe Mwaminifu, Mkweli na Mpenda Umoja.

Formu hapo juu kiambatisho (as attachment)

Kama unaswali lolote wasiliana na Kamati ya Uchaguzi;

1. Mwenyekiti-Mchungaji Mama Butiku 516 314 9803
2. Katibu - Hamza Mandia 347 314 4255
3. Prof. Lwiza- Mjumbe 631 278-3859
4.Jesse chiume ( Da mgeni)- Mjumbe 917 254-3343
5. Kahwili Mujunangoma Mjumbe 914 654 1913

Tujitokeze kugombea nafasi za Uongozi ili tuendelee kujenga Jumuiya imara.
Ahsanteni sana

Hamza Mandia
Katibu wa kamati.