Sunday, September 15, 2013

NEW YORK COMMUNITY YA CHAGUA VIONGOZI WAPYA

 Meza kuu ya maandalizi ya uchaguzi ikiongozwa na mchungaji mama Butiku na Prf Lwiza
 Mchungaji mama Butiku akiongea juu ya taratibu za kupiga kula kwa wagombea
 Mabalozi wetu wakiongea juu jinsi walivyo shirikiana na viongozi waliobaliza muda wao
 Deogratius ndiyo aliechaguliwa kuwa katibu wa community hapa akijinadi kwa wana community kabla ya uchaguzi
 Bwana Chiume akijinadi kabla ya uchaguzi na alifanikiwa kuwa mwenyekiti msaidizi baada ya kushika nafasi ya pili katika kinyanganyilo cha kiti cha mwenyekiti. Na cheo hicho kimetetewa na Hajii Khamis mwenyewe ambae bado akuwa na mpinzani.
 Bwana Hajji alitetea kiti chake kwa kuwabwaga wapinzani wake ambo walikuw mwana Chiume na Mafutah.
 Dr Mariam Abu amebaki kuwa kahimu katibu kama mwanzo lakini safari hii akiongozwa na bwana Deogratius ndiyo katibu mkuu wa community ya watanzania New York.
 Dr Temba ndiyo alikuwa mweka hazina na sasa nafasi nyake itakuwa inashikiriwa na Raphael Faida na yeye atakuwa kahimu mweka hazina.
 Mh Balozi Manongi akirudisha karatasi yake baada ya kumchagua mgombea alie na anafaa kuongoza wanacommunity wa New York.

No comments:

Post a Comment