Tuesday, September 17, 2013

USHAURI WAKO WAHITAJIKA KUOKOA NDOA HII..MUME HATAKI MBELE YEYE NYUMA TU

TOA Maoni Yako na Ushauri Kuhusu Ndoa Hii ya Huyu Dada. Nilimuhoji mimi kupitia inbox fb.

Dada anaishi nje ya Tanzania. Yeye ataitwa “X”, na mimi niliyemuhoji nitaitwa “Mwandishi”. Nitaanzia kwenye kiini cha tatizo lake. Endelea…………
X: Kwa kuwa niliapa kuwa mwaminifu na kuwa mke mpaka mwisho wa uhai,
aisee sijui what happened within 4yrs imekuwa ni machungu,but before it was ok.
Mwandishi: Umesalitiwa na mpenzi wako? What hapenned?
X: Aisee nimarefu mno naweza kuandika kitabu
Mwandishi: Pole sana...!
X: Hajaniacha lakini kuna mahali alinidanganya nikiona; kweli iliniuma sana,
; so since then, nashindwa kuamini chochote lakini pia, unywaji pombe kilasiku, kupingana kwenye mambo ya kiimani…
Mwandishi: Alikuwa ameokoka b4 marriage?
X: Mume anapofikia hatua ya kutaka ku-satisify him self without thinking the otherside…
Mwandishi:Kuji-satify himself kivip ? Kitandani?
X: Kingine kibaya zaidi, ni kutaka kuniingilia kinyume kitu ambacho nakichukia sana; lakini, kwa upande wake nikama kwa njia ya kawaida kapoteza, na hana tena feelings
Kujiridhisha.
Mwandishi: U mean mki-sex yeye anamaliza na kuondoka kabla ya wewe kuridhika?
X: ananiambia kabisa kuwa anataka akojoe, hivyo nigeuke; hataki nimgeukie eti atatumia nguvu nyingi.
Mwandishi: Jamaani, pole rafiki.
Kwan alikuwa anataka mfanye kwa stail gan kama hataki ugeuke?
X : Asante nishakubali hali halisi. Ninakuambia ni kama kaathirika hivyo; feeling zake ni nyuma; hivyo nafikiri nikigeuka anaji-feel kama anafanya hivyo. Penis inasimama ikiwa nyuma nimigeuka inalala.
------Sometimes anaenjoy kusex paja tu, but, inachosha na kukera sababu it might took even 2 hrs and i cant co-operate because my feelings is not there; na kila siku anataka;
yeye ana-enjoy mapajani tu ukeni ni marachache sana, anajilazimisha kufanya hivyo.
Mwandishi: Dah! pole sana. Kwani kabla ya kuoana alikuwa anafanya hivyo?
X: Hapana; alikuwa ok; after 3 yrs changes zikaanza; hayo ya nyuma yameanza ni kama mwaka na nusu; tunaishi wote ila huwa anasafiri kila mara,hivi yuko [anataja mji ulioko Tanzania] miezi miwili sasa atarudi October mwishoni
Mwandishi We upo[anataja nchi alipo x ]bila shaka
X: Ndiyo
Mwandishi: Jipe moyo dada. Umezungumza naye na anasemaje; ulisha muuliza ni kwa nini anafanya hivyo?

X: Anakuwa na excuse nyingi zisizo za msingi;
mara ku-avoid ujauzito, mara anajisikia ku-relax
nikivifikiria vinanichefua, acha nisiviongelee…
Mwandishi: Umeshatafuta suluhu ya watu wa karibu?

X: sijawahi kumwambia mtu, hata mama yangu hajui. 
Sioni kama ni sahihi kuwaambia; kwanza mr ataumia sana, maana huwa anajitahidi sana kuficha
Yeah…halafu vingine kusema nikama kujivua nguo.
Mwandishi: Sure..ila unavyoona ni tatizo la mr, au kaamua?
X: Nashindwa kuelewa sababu; nikama nguvu fulani inayomvaa, like demonic attack; pia anakuwa confused anakunywa sana. Ila familia yao wote huwa nyumba zao hazidumu, kuanzia kwa wazazi wake.

Mwandishi :Ok, vumilia dada...it will be ok ONE day..ukimshauri muende kwenye maombi je, anakubali?

X: That’s problem, anapinga sana huwa hata kanisani haendi; hata post zangu ninazo-post za mambo ya Mungu zinamkera, ananikataza eti anasema nakuwa kama nimechanganyikiwa.

----Familia yake inapambana na mimi ndiyo tatizo; hawanitaki

Mwandishi: Wanatoa sababu gani?

X: Vita vyetu ni msimamo wangu wa imani. Sikubaliani na ya kwao.

-----Hawaniambii sababu ya kunipiga vita; wanamwambia mr; kwangu wanafanya unafiki;
mama mkwe huwa tunapambana sana spiritual ametaka sana kuniua lakini wapi, Mungu hajaruhusu. Mama mkwe ni mganga, pia anafuga maruhani; so alichoamua kufanya kamuozesha mr mke wa kipepo.

Mwandishi: Dah! Dini zenu ni tofauti dada?

X: kwao ni Waislamu; yeye Mr alibatizwa akabadili dini; mwanzoni tulikuwa tunaenda wote ibadani baadae akaacha; ila Mama yake alichukia sana.

Mwandishi :Kwa hiyo mama alichukia mwanae kuwa Mkristo?

X: Ndiyo wakati hata msikitini kwenyewe hakuwa anaenda;
she is using her demonic powers to stop him and makes confusion between us[anatumia nguvu za mapepo kutuachanisha na anatugonganisha]

Mwandishi: Dada, watoto unao wangapi na wana imani gani?

X: Ninao wawili; ni Wakristo.

Mwandishi : Samahani dada; ni ishara gani au mambo gani umeyaona kwa mama mkwe ukagundua kuwa anafuga mapepo?

X: Mr alikasirika siku moja kwangu yakawa yanaongea na mimi; yalitaka mimi na familia yangu tuwe tunatoa sadaka za kafara; kwa mama mkwe[Tanzania] huja watu kufanyiwa uganga,wanachinja kuku na vinginevyo. Nilichukua wajukuu zake watatu ili kumsaidia kuwalea maana wazazi wao washafariaki, nikawa ninawapeleka kwenye maombi wakapagawa mapepo, yale maruhani yakawa yanaongea ndani yao.



------------Kuna kitu sijakwambia; kulikuwa na semina ya siku 3 ninapoabudu huku Mr akaalikwa akaja siku ya 3, kulikuwa na mtumishi wa Mungu toka Ghana, mr alikuwa hatulii kanisani; kila mara anatoka nje, baadae yule mtumishi akaniita mbele kanisani ,akawaambia watu wote waniombee kuwa jana yake kila akitaka kuombea huduma alikuwa analazimika kuniombea mimi , ilikuwa inamjia image yangu nikiwa hospitali nimelazwa kitandani; akaniombea nikamwambia kuwa nipo na mume wangu nimuite nae? akakataa, alipomaliza kuniombea, akanitolea unabii kuwa kwenye familia hawapendi ninachokifanya na wanapambana kunimaliza lakini Mungu ameapa kuwa watakufa wao kwanza mbele yangu. Kabla ibada hata haijaisha mr akaniambia eti yeye anachelewa anaenda kufanya kazi, akatuacha pale akaondoka. Baadae alirudi usiku saa 4, hakuingia ndani; akanipigia simu niende kumpokea kuna vitu anataka tuongee; akaanza kuzungumzia ya kanisani kuwa mtumishi alifundisha vizuri sana, na mafundisho yake ndiyo yanayotakiwa watu kufundishwa, lakini, eti baadaye alikosea na akaanza kudanganya watu kama mganga wa kienyeji, alipokuwa anawaambia maisha yao; eti umelazwa kitandani hospitali! hakuna kitu kama hicho na hakiwezi kutokea. Mimi nikamwambia “naomba uniambie habari zingine hizo achana nazo, usiingilie fani za watu, kama ulikubaliana na mahubiri unapinganaje na prophecy?[nabii]; kwani mti mmoja utaweza kutoa matunda mazuri na mabaya kwa wakati mmoja? inabidi ukubali vyote ama ukatae vyote”. Lakini nilishangaa jinsi gani alivyokuwa anapata shida kunilazimisha nifute kwenye akili yangu kile kilichosemwa,


-------Kuna hii channel ya Emmanuel Tv; mimi hupenda kuiangalia sana sababu many people wanaokuwa delivared naona wanakuwa na matatizo kama ya kwangu; sasa ajabu mr hataki kabisa kuniona naiangalia hiyo channel; akiingia ndani kitu cha kwanza nikuniomba niizime nikimuuliza tatizo ni nini anasema yeye anasikia kichwa chake kinachanganyikiwa, baadae akaanza kumsema vibaya TB Joshua ambae hamjui wala hajawahi kumuona, nikagundua kuwa mapepo ndani yake yanapata shida.

Mwandishi: Vipi, kabla ya kuolewa huko huyo mama mkwe mlikuwa mnaelewana naye? Vipi na ndugu wengine wanakupenda? 

X: Kiukweli sikuwahi kumuona, mr alikuwa anaishi jirani na mimi [anataja mtaa wa mji fulani, Tanzania], na aliniambia kuwa mama na Baba waliachana akiwa mdogo, akaishi na Baba yake [anataja mtaa],mama yake akaolewa na mtu mwingine hivyo hakuwa na ukaribu nao. Alinitambulisha kwa wadogo zake wawili wa kiume, na ndio nilikuwa nawaona. Mr aliishi kama mtoto wa mtaani wakati mwingi; baba yake nae akawa anakunywa hamjali. Alifanikiwa kusoma kwa kufuatiliwa na mwalimu ambae alimpenda na kuona anaakili; lakini, kwa kuwa hakuwa na uangalizi, aliishi kama watoto wa mtaani, na mara nyingi alikuwa anaishia mitaani
akitoka shule alikuwa anatembeza karanga na ubuyu ili apate hela ya shule.

----Alimaliza [anataja chuo maarufu Tanzania].

------ Nilimuona Mama yake mara ya kwanza kwenye party tuliyofanya baada ya harusi, sababu harusi tulifungia[anataja nchi jirani na Tanzania] ambapo Baba yangu alikuwa Bishop na ndie alitufungisha ndoa.


Mwandishi: Dada, kama umeenda kwenye maombi, umesaidiwaje huko?

X: nimesaidiwa sana la sivyo ningekuwa kichaa, au kuwa nishakufa kabisa

----------Wakati nakutana nae, alikuwa mtu ambae mpweke na alijiona hakuna mtu anaeweza kumpenda, sababu tangu mdogo alikuwa akipigwa vita na dada zake kuwa ni mbaya, so i was trying to show him that he is good like other people, i was feeling sorry for him.



Mwandishi: Unajisikiaje na hali sasa hivi

X: poa

Mwandishi: Una amani moyoni?

X: ndiyo japo sometimes nakuwa kama nazidiwa na nataka ku-giveup

Mwandishi:Watoto kwan wana shida?

X: Hawana shida lakini kipindi cha nyuma alitaka kuwatoa kafara, nilipojua nikawapeleka madhabahuni nikawatolea sadaka; yeye hufanya kila liwezekanalo ili kuni-confuse; hakuna kitu ninachofanya kifanikiwe; kila biashara ninayoanza ikishakaa vizuri huja na kuhamisha kila kitu, mara 3 ishakuwa.


Mwandishi: Pole dada. Lakini huduma zote za matumizi anatoa?

X: ndiyo’ anatoa.


Mwandishi: Vipi unaonaje ukirudi kwenu?

X: Sikufichi; sioni hata kimoja cha kunifurahisha ukiacha watoto wangu, kurudi kwetu na watoto wangu si wataliwa?

Mwandishi: Umeshajua ni kwa nini hataki uwe na kazi?

X: Anachotaka ni kuthibitisha maneno yake kwa mume wangu kuwa mke aliyemuoa hafai, na ana mikosi na mabalaa. Hata niliuza gari yangu wakati nataka kuja huku[nchi alipo x], nikabadilishana na mtu plot iliyokuwa na nyumba pale[anataja mtaa fulani, Tanzania], jamaaa kamuuzia tena mtu mwingine akatoroka; mpaka leo, hata nikiwa na pesa inapotea kimaajabu ndani ya nyumba.



X: Once tunapokutana as husband and wife, huwa napata maumivu, nawashwa kama vile nimepakwa pilipili.


Mwandishi: Unamwambia kuwa unawashwa?

X: Namwambia yaani huwa siwezi kukaa maana naweza hata kulia, mpaka nilifikiri labda tumeathirika tukaenda kupima hakuna kitu,ila sperms zake sikuhizi zinaniwasha.

Mwandishi: Kuwashwa umeanza lini?

X: kama miezi 5 hivi

Mwandishi: Pole dada. Wakati wa kujamiana unapata maumivu pia, au ni sperm to zinawasha?

X: Ilianza maumivu ndani ya tumbo, kama vile kitu kinachoma tumboni kwa pembeni, as if penis imekuwa kama kitu kikubwa kama gogo
wakati mwingine nachubuka sababu ya kuwa dry, si unafahamu kumwingilia mtu direct ?

Mwandishi: Ninafahamu kuwa, mwanamke huchubuka kama hana mood; hajaandaliwa katika kusex..Au labda ukiwa mnafanya unakuwa huna mood?

X: exactly [sawa kabisa]

Mwandishi: Ndiyo ndiyo, pole sana. Kwani umejaribu kwa mwingine?[sorry hili swali kama ni offensive kwako unaweza usijibu]

X: ili ku-prove nini?

Mwandishi: Ku-prove kuwa tatizo ni mr

X: Sijajaribu, naogopa sana, isije ikawa mwanzo wa safari, mimi huwa nikipenda napenda mzima mzima-kama mjinga vile; so najijua nikiufungua moyo wangu kwa mtu sitaweza kuji-control 

------Najua kuwa yeye ndiyo tatizo japo yeye hajioni, ila kupitia maombi nilijua; pia mama yake alikuwa amenifunga nisizae; in-short, alishanizika kama maiti kiroho lakini sikuwa naweza kufanya chochete kama kazi za nyumbani.

Mwandishi; Sasa, unavyoona kuna ushirikiano kati ya mama na mwanae dhidi yako?

X: Hakuna ushirikiano na wanamuogopa lakini anapoenda kwa mama yake analishwa madawa kwenye chakula walikuwa wanamwambia maneno ya wifi yangu na mama yake; si kumoja akawaambia kuwa anaomba wamuache na wasirudie kuzungumza chochote kuhusu mimi sababu hakuwaomba ushauri wakati akienda kuoa, akawaambia kuwa watuache tushindwane wenyewe, tukiachana tuachane wenyewe pasipo wao kuwa sababu.

Huwa hawaongei tena, isipokuwa maneno ya mtaani ndiyo huambiwa na majirani ama rafiki zake

----Ujue mama yake huwa hata sionani nae lakini anaweza akazusha uongo mpaka akalia machozi ili aaminike anayoyasema, sasa mr ananijua vizuri kuwa mimi sisemi uongo na wala siwezi kumsingizia mtu, unakuta hapo ndipo napata nafuu.


-----Mwaka juzi usiku wa kuamkia krismass nilipata ajali ya kutisha sana ilikuwa nife lakini Mungu akasema no

Mwandishi: Ilikuwaje ajali?

X: Kuna gari ya mama mkwe wangu ilikuwa na mgogoro, na matatizo ya kifamilia, akaamua kuileta aipaki nyumbani, sikumoja gari yangu ikawa inasumbua akaniambia niitumie nikakosa amani ya kuitumia, nikapanda bajaji, nilipofika kwenye maombi mtumishi akaniambia eti nisijekutumia ile gari imefanyiwa matambiko ina mizimu,
nikasema sawa sasa siku hiyo ya kuamkia kristmass, yaani tarehe 24, tangu asubuhi ndani yangu nilikuwa nasikia ajali hata nikijitahidi kufikiria vitu vingine wapi na feelings za kupata ajali tu, nikawa na hofu sana, ila sikujua kama hiyo ajali ni mimi sababu nilikuwa nyumbani tu, na nikasema sikuhiyo sitatoka hata kanisani kwenye mkesha wa krismass sitaend, ila Mr alikuwa ameenda[anataja mji Fulani Tanzania] yeye na mdogo wake na ile gari; kila mara nikawa napiga simu kuwauliza kama wako salama; lakini, ilipofika saa 5 usiku wakarudi; mdogo wake yeye akagoma kwenda nae kwa kuwa alikuwa na safari nyingine; sasa akaja kuniamsha nimsindikize ampelekee mama yake mkaa; mama yake anaishi[anataja mtaa fulani Tanzania]; nikamwambia kuwa mimi sijisikii vizuri; sitatoka aende tu peke yake. Aisee alinibembeleza isivyokawaida; ikanibidi niamke kumsindikiza lakini nikiwa sina amani ya kutoka nje; akawasha gari tukaenda, toka[mtaa] kuelekea [huo mtaa]; ila sikuwa naongea nilikuwa kimya nasali kimoyomoyo nakemea ajali, kufika pale kwenye[makutano ya barabara], badala ya kuendelea akafanya makosa akatoka speed ili aingie bp kuweka mafuta wakati akifanya hivyo kuna mtu mwingine nae wa canter anatoka---- kuelekea--------kwahiyo canter ilikuja ikanibamiza kwenye mlango nilipokaa mbavu zikabonyea zikaingia ndani nikawa sipumui tena kama dakika kadhaa; gari ilikuwa ngumu kunitoa kwenye gari maana hata chases inipinda ,mlango umebondeka na kuingia ndani sana,wakanitoa na kunkimbiza kwa[daktari] ,karibia na kufika mbavu zikarudi zikakaa sawa ,wakanicheki nikawa mzima ila nikawanahofu labda nitakuwa nimeumia kwa ndani lakini sikupata tatizo,na vioo vilivunjika vunjika lakini sikupata hata alama.

-----Hakina Mungu ananipenda sana namshukuru kwa hilo

ni kweli

Mwandishi: Mama mkwe alisemaje kuhusu hiyo ajali? Alikupa pole na kukujalia hali?

X: Huwa anaonyesha kujali kuliko wengine; ila nilienda kwenye maombi na mjukuu wake; wakati tunaomba, nikatoa sadaka ya shukrani kupona kwenye ajali; yule mtumishi akasema kuwa nilikuwa natolewa kafara; yule mtoto akaenda kumwambia Bibi yake[yaani mama mkwe]; yule bibi akamuita mr huku analia eti ‘sijui nimemkosea nini mke wako anaenda kunisema kuwa mimi ni mchawi….!!! Si ningesha kula nyama yako sasa!!! anamtishia mr kwa kupitia mimi


-----Halafu mimi namwambia mr kwa nini mama asiniulize mimi hizo tuhuma ambaye zinanihusu halafu anakuuliza wewe? nikimwambia nataka amlete mama yake tukae tuongee, na hayo maneno na yanakotoka anasema hawezi kumsuta mama yake.



--------Amefanikiwa sana kuyumbisha maisha yangu; ila uhai wangu ameshindwa kabisa kuuondoa; ujue hata nikihifadhi pesa ndani zinachukuliwa kimazingara;
tukipanga kufanya kitu anaibuka na jambo la kuharibu ile plan.

------Ananichukia sana; i was very beautiful, lakini alikuwa hapendi; nilikuwa na nywele nzuri ndefu sana; kila siku wakawa wanazungumzia nywele zangu; sasa zikaanza kuwa zinatoka,nikichana nywele zinatoka tu kama vile kuna mtu anazikata; ila nikaja kujua alikuwa ananikata nywele; nikaja nikapata ma-pimples makubwa kama majipu usoni, yalikuwa yananiumiza, nikiina nilikuwa nasikia kamavile kuna vijiwe kwandani vizito, nikapona kwa maombi

-----Nguo zangu nzuru nakuta imeliwa sehemu ambayo nguo inakuwa haifai,nlikuwa na panya ndani wa ajabu sana,wanakimbia usiku kucha huwezi kusinzia,nikitega sumu mfano naweka samaki naweka sumu hawali,nikiweka samaki bila sumu wanakula

Mwandishi: Umepitia mengi. Lakini bado naona unaonekana mrembo tu; mshukuru Mungu pia kwa hilo.

X: nimekuwa mzee kuliko hata wakubwa zangu aisee, japo si sana ukilinganisha na mapito yenyewe; wengine wanafikiri nafanya mazoezi kumbe siri ni chakula ipasavyo. Huwa sitamani kitu chochote kwahiyo najilazimisha.

Chanzo cha habarii hii ni Jamii forums

No comments:

Post a Comment