Thursday, October 3, 2013

RAFIKI YANGU WA KIKE ANANISHAWISHI NIINGIE KATIKA MAPENZI YA JINSIA MOJA (USAGAJI)

Mimi ni Msichana wa makamo tu nimeolewa miaka miwili sasa na nina watoto wawili , nafanya kazi kwenye kampuni moja kubwa tu hapa Dar es salaam , hivi karibuni nimekuwa na rafikia ambae tuna fanya nae kazi hapa ofisini ambae nimekuwa nikimwelezea matatizo yangu na mme wangu kuwa aniridhishi kitandani....cha ajabu aliniambia kama ninataka kuridhika bora niingie katika usagaji ..cha ajabu aliniweka wazi kabisa kuwa yeye huwa anasagwa na huwa anasikia raha sana kiasi wanaume si deal kwake ..Toka aniambie hivyo kila akija ofisini kwangu ananibusu na kunikumbatia kwa nguvu...Juzi alitaka kunivua chupi nikakataaa kabisa kwani bado hainiingiii akilini kufanya mchezo huo na msichana mwenzangu ....japo kwa upande mwingine natamani kujaribu ....Naomba ushauri nifanyaje....No matusi pliz