Wednesday, October 9, 2013

STAREHE ZINGINE KUFURU..SOMA ALICHOFANYA HUYU BINTI MBELE ZA WATU KIBAO

Waombolezaji walikua wamejaa katika msiba wa mpiga misele (drifter or spinner) maarufu Bongani Makhubo (40) jijini Pretoria, Afrika Kusini.

Baada ya mazishi, wapiga misele wenzie wakaanza kupiga misele na magari yao kama kumtolea heshima marehemu, huku wahudhuriaji wakishangilia.

Ghafla binti huyu akavua chupi yake na kuipunga hewani huku akidansi katikati ya magari yanayozunguka kupiga misele


Baadhi ya waombolezaji walikerwa na kitendo hicho lakini cha ajabu wengi walimuacha aendelee na walikua wakishangilia