Wednesday, October 9, 2013

UHURU KENYATTA KUFANYA SHEREHE KUBWA YA KUWAPONGEZA KDF KWA USHINDI WA WESTGATE

Amiri jeshi mkuu wa Kenya, Uhuru Kenyata ameandaa party kubwa ya kupongeza majeshi yake kwa kazi nzuri na ushindi wa walioupata dhidi ya Alshabab katika mkasa wa westgate uliotokea hivi karibuni.

Rais Kenyata amesema ameandaa paty hiyo kuonyesha shukrani zake za dhati kwa KDF ka jinsi walivyojitolea maisha yao kunusuru maisha ya raia wa Kenya na hatimaye kuwashinda watekaji.