Tuesday, October 29, 2013

WADADA WAZICHAPA KAVU KAVU BARABARANI WAKIGOMBANIA BWANA



Wadada wawili Warembo wa Mitaa ya kawe waliamua kuzichapa kavu kavu bila maglovsi mbele za watu kwa eti mmoja akimtuhumu mwenzie kuwa anatoka na Boyfriend wake...Inasemekana hawa madada ni marafiki sana lakini leo yamewashinda baada ya kuchangia bwana mmoja ...

No comments:

Post a Comment