Wednesday, October 23, 2013

MAAJABU YATIKISA KWENYE MAZISHI YA JULIUS NYAISANGA HUKO MKOANI MARA!

Makamu wa rais wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal amewaongoza wakazi wa Dsm kuuga mwili wa mtangazaji mkongwe Julius Nyaisangah katika viwanja vya Leaders Club.
Mwili wa marehemu uliwasili nyuambani kwao Tarime kwa ajili ya mazishi.Lakini habari toka kijijini huko zinasema taofuti na hali ilivyokuwa Morogoro na Dar huko maelfu ya wananchi wamekusanyika nyumbani kwa marehemu kwa ajili ya kushiriki hatua hiyo ya kuupumnzisha mwili wa mtangazaji yuo nyota nchini.