Wednesday, November 20, 2013

MAJANGA!!! WASICHANA WATANO WAKUTWA WAMEKUFA KATIKA GARI LA ABIRIA..!

!
Katika hali ya kusikitisha wasichana watano walio kuwa wamelala katika gari ambao wanasadikiwa kuwa ni machangudoa huko nchini Nijeria wamekutwa wamekufa.

huku ikisemekana chanzo cha kukutwa na umauti huo ni kukosa hewa kabisa katika gari hilo kwani vioo vyote vilikua vimefungwa na hivyo kusaoketi.,,,,