Friday, November 1, 2013

PICHA ZA MSANII ANAYEDAI KUTUMIWA NA WANAUME WENGI PASIPO MALIPO.

Msanii Aunt Lulu ambaye alishawahi kuwa Mtangazaji wa Kituo cha Lunninga Bongo C2C amenukuliwa katika Moja ya Interview aliyofanya na chombo kimoja cha Habari kuwa ametumika na wanaume wengi mno pasipo kupata faida.
Kauli ya dada huyu inadhihirisha wazi kabisa kuwa lengo lake la kujiachia hivyo lilikuwa ni kufanya Biashara ya Mwili wake mwenyewe ingawa anakuwa amezidiwa ujanja na Wanaume anaokutana nao.
Baada ya Aunt Lulu kufunguka hayo Msanii mwingine ambaye pia ni Mwandishi wa Habari kupitia Mitandao ya kijamii Sinta amefunguka na kumtolea uvivu msanii huyo anedai kuwa ameriwa uroda kwa miaka mingi pasipo kupata malipo yoyote.
“Hiki ni nini wajameni? nikisema mtasema Sintah anaongea?? niko hapa kwaajili ya kurekebisha watu na jamii inachukulia wasanii kama kioo chao, sasa kwa matendo haya ya lulu na alivyoongea wengine tunaonekana vipi”
ni wakati umefika sasa tujue kuna wasanii na wanaotafuta umaarufu ili ya kwao yawaendee eg kupata mabwana na wanawake”
yaani nimekereka sana na hii kauli ya Aunt Lulu so sasa hivi anauza rasmi na ameamua kujitangaza kama tunavyojua biashara ni matangazo ?? God forbid” (Quatation Source Sinta)