Monday, November 4, 2013

SURPRISE BIRTHDAY ILIYOFANYIKA UKO NEW JERSEY WEEKEND MZEE WALUYE NA MKE WAKE LIDYA


 Bi Lidya kama anavyoonekana katika picha hii akishangaa baada ya kukuta watu wamejaa ukumbini wakimwimbia happy birthday happy birthday.
Keki ya birthday 
Bwana Waluye na mke wake wakiingia ukumbuni, 
Marafiki wakiwa ukumbini wakati Bi Lidya anaingia na mume wake Bwana Waluye
Mambo yalikuwa bam bam kabisa ukumbini hapo.
Marafiki wakimwimbia Bi Lidya ukumbuni hapo
Bi Lidya akicheza kwa furahi 
Bi Lidya Waluye akitoa shukrani kwa mume na marafiki waliojitokeza hapo ukumbini, kwa picha zaidi nenda soma zaidi.