Tuesday, December 10, 2013

Picha 9 za birthday party ya Nicki Minaj Ziko Hapa.Na hiyo keki sasa,Majanga tupu.


First lady wa label ya YMCMB Nicki Minaj amesherekea birthday yake akitimiza miaka 31 na mafanikio ya kujivunia kwenye kazi yake ya muziki.

Party hiyo ikifanyika huko L.A na restaurant nzima ilibadilika rangi yake na kuwa ya pink maalum kwa ajili ya party ya Minaj ambayo ilihudhuliwa na Lil Twist,Safaree boyfriend wa Nicki Minaj na watu wengine.
Nicki aliletewa keki mbalimbali pamoja na stripper pole maalum kwa ajili ya party hiyo.