Thursday, March 6, 2014

MASIKINI PANYA!!!!

PANYA aliingia kanisani akafumba macho nakuanza kusali alipofumbua macho akamkuta PAKA amekaa pembeni yake,PANYA akamwambia PAKA hapa hairuhusiwi kula wenzio hapa ni upendo tu,PAKA akajibu ohooo!!!Hapa wanakula hadi mwili wa Kristo sembuse wewe PANYA..Hebu maliza kusali haraka nina njaa