Sunday, March 23, 2014

VUAI NA HALIMA CHUNDA WAMELEMETA

Vuai na Halima Chunda walivyomelemeta, Harusi ya wawili hao ilifanyika Massachusetts na kujumuika ndugu na marafiki kutoka kila sehemu ya Marekani na Ulaya. 
Vuai na mama mwenye nyumba 
Bwana harusi na bibi harusi wakipata ukodak na marafiki
Datu kutoka Maryland akifanya mambo yake
Mkuu wa Wilaya ya Springfield bwana Isaack Kibodya akipata ukodak
Habibu kutoka Delaware 
Asha na Nasra wakipata ukodak
Kwa picha zaidi nenda soma zaidi