Monday, March 24, 2014

AKIMWAGA MBOGA NAWE MWAGA UGALI!!!

Baada ya mke kupokea kichapo kikali tok kwa mumewe,akakimbilia police post.MKE:Mume wangu anauza madawa ya kulevya,alivyoona nimemgundua kanipiga sana...POLISI WAKAMFUATA MUME WAKAMUARESTI NA KUANZA KUMPA KIPIGO CHA MBWA MWIZI AELEZE WAPI ALIPOFICHA MADAWA.HATIMAE JAMAA AKAKUBALI KUSEMA..Mume:wacha niseme ukweli,nilitumwa tu na bosi wetu,na mzigo anao yeye...POLISI:Bosi wako ni nani?MUME:Bosi wetu ni BABA MKWE WANGU...!!