Showing posts with label Mwingira. Show all posts
Showing posts with label Mwingira. Show all posts

Tuesday, January 20, 2009

Kumradhi, lakini imebidi niirudishe tena picha ya mwenzetu, ndugu Tony Mwingira alipowakilisha vizuri wakati Obama alipokuwa kwenye kampeni za mwanzo kule New Hampshire.

Wednesday, December 10, 2008

Mdau Tonny Mwingira alipokutana na Mama Migiro kwenye kiwanja cha ndege pale Ulaya alipokwenda kikazi.

Sunday, November 2, 2008


Rais mtarajiwa bwana Barack Obama akila mapozi na mdau Tony Mwingira huko mjini New Hampshire wakati wa kampeni za uchaguzi wa kuwania tiketi ya chama cha Demokrasi. Bwana Mwingira anaishi na kufanya kazi katika jimbo hilo la New Hampshire. Anawaomba Watanzania wenzake ambao wanaruhusiwa kupiga kura wafanye hivyo hiyo siku ya tarehe 4 Novemba.