Showing posts with label Yona na Mramba. Show all posts
Showing posts with label Yona na Mramba. Show all posts

Tuesday, December 2, 2008

Baada ya wiki moja ya kupajua rumande kukoje hatimaye Yona na Mramba wakubaliwa dhamana ya karibu shilingi billioni 2.9 kila mmoja. Yanayotokea nchini mwetu yanatuonyesha kwamba huu ni mwanzo na mengi yanafuata. Siku itafika kwa sheria na haki kuwa ni mambo ya kawaida Tanzania. Ole wenu kwa mliodhani kwamba sheria za nchi hazitawagusa.

Wednesday, November 26, 2008


"YONA NA MRAMBA KIZIMBANI KUJIBU MASHTAKA. WASHINDWA DHAMANA NA KURUDISHWA SEGEREA"