Showing posts with label kombo na hennah. Show all posts
Showing posts with label kombo na hennah. Show all posts

Tuesday, December 2, 2008

Wanangu Kombo na Hennah wakifurahia maji wakati wa kipindi cha joto kali. Kipindi cha baridi kimeshaanza hivyo kwa sasa ni makoti mazito na kukaa ndani mpaka mwakani.