Monday, November 24, 2008

Wakati ukifika wa mwana kuondoka kwa wazazi wake na kukabidhiwa ukweni, huwa ni siku ya vifijo na huzuni ndani yake. Ni taratibu zetu za ndoa, na ndoa humjumuisha mwana dada na mwana kaka na si vinginevyo. Hivyo basi, ni sahihi tukaulinda "Utamaduni" wetu ili nasi tusije kufika mahala eti ikabidi tuandamane ili kutaka kubadili taratibu halali za kitu kinachoitwa "Ndoa".

No comments:

Post a Comment