Monday, October 5, 2009

Kila mwaka mwezi wa Tisa wakati wa sikuku ya Labor Day hapa New York katika kitongoji cha Brooklyn huwa kunakuwa na Carnival inayowajumuisha watu wa visiwa vya Carribean wanaoishi jijini hapa. Siku hiyo kinadada ujitokeza kwa wingi wakiwa na mavazi yao ya rusha roho na kula mapozi kwa wingi kama inavyoonekana kwenye hizi picha hapo juu.