Friday, January 18, 2013

MH. PINDA NA MH. LOWASSA WAKIWA KWENYE UWANJA WA NDEGE WA JULIUS NYERERE JIJINI DAR

Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowasa mara baada yakushuka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,jijini Dar es Salaam wakitokea mjini Dodoma.Mh. Pinda alikuwa Dodoma katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la wafanyakazi wa Serekali za mitaa.Nyuma yao ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa (TAMISEMI),Mh. Hawa Ghasia akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Mh. Jordan Rugimbana ambaye alikuja kumpokea Waziri Mkuu uwanjani hapo.