Friday, January 18, 2013

UJUMBE WA TIMU YA SEATTLE SOUNDERS FC YA MAREKANI WAMTEMBELEA RAIS JAKAYA KIKWETE

Rais wa Seattle Sounders FC ya Marekani, kushoto, akimkabidhi Tais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete Jezi ya timu Ikulu mjini Dar es Salaam jana.
Rais wa Seattle Sounders FC ya Marekani, kushoto, akizungumza na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete Ikulu mjini Dar es Salaam jana.
akimuonyeasha jambo kwenye kompyuta rais Kikwete
Ujumbe wa Sounders katika picha ya pamoja na Rais Jakaya Kikwete