Wednesday, February 13, 2013

HARAKATI ZA MWAKYEMBE JUU YA KUIKOMBOA NCHI YA TANZANIA

Waziri Mwekyembe leo amekamata ufisadi bandarini unaofikia jumla ya USD $ 10,000,000 (Dola za Kimarekani Millioni 10) au Shillingi za Tanzania Billioni 16, kutokana na Kontena moja lililokuwa na Madini yakitokea Rwanda, inasidikiwa wahusika ni Vigogo wengi wa Serikali